SAKATA LA MISS TANZANIA 2014 MAPYA MENGINE YAIBULIWA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/sakata-la-miss-tanzania-2014-mapya.html
Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu (kushoto) akiwa ameongozana na Mama yakeDOSARI
3 za Lundenga na Sitti jana..1. Mmoja wa majaji Martin Kadinda anasema
hakubaliani na Lundenga on MATOKEO sasa kama Lundenga hakuwa Jaji kwa
nini Martin asilalalmikie Majaji wenziwe amlalamikie Lundenga ambaye
hakuwa Jaji? Jawabu from mmoja wa Majaji ni kwamba Lundenga alitangaza
matokeo yake mwenyewe.. Majaji waliamua Mshindi ni Jihan na Sitti
alikuwa mshindi wa tatu.
..2.
Lundenga hajawahi kutangaza Mshindi wa Miss Tanzania na anayetakiwa ni
Chief Jaji wa siku hiyo sasa ilikuwaje Lundenga kutangaza kwa mara ya
kwanza? 3. Sitti mbona ameshindwa kujibu maswali ya umri wa passport na
leseni yake kuwa sawa lakini cheti cha kuzaliwa alichopata mwezi
uliopita haviko sawa?.....Ok guys enough mimi nitamtafuta Waziri wa
Michezo kujua msimamo wa Serikali kama siridhiki NITATENGENEZA FOMU
MAALUM AMBAYO ITAPITA KWA WANANCHI WOTE WASIOKUBALI MATOKEO KUSUDI
MUWEKE SAINI ZENU MIMI NITAIPELEKA FOMU HIYO MAKAO MAKUU YA MISS
WORLD......NASEMA TENA SITTI SIO MISS TANZANIA WANGU na kama Sio Miss
Tanzania wako sema hapa.chini....UKIMJUA MWIZI UKANYAMAZA NA WEWE.NI
MWIZI MIMI SIO MWIZI NA WALA.SINA SHIDA YA UBUNGE WA BABA YAKE SITTI! -
le.Big ShowKUTOKA ISTRAGRAM YA MALECELA
