Picha: Diamond na dancers wake wahojiwa kwa masaa Polisi Oyster Bay
Diamond Platnumz pamoja na dancers wake, wamehojiwa kwa masaa kadhaa kwenye kituo cha polisi cha Oyster Bay jijini Dar es Salaam ba...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/picha-diamond-na-dancers-wake-wahojiwa.html
Diamond
Platnumz pamoja na dancers wake, wamehojiwa kwa masaa kadhaa kwenye
kituo cha polisi cha Oyster Bay jijini Dar es Salaam baada ya kuitwa
kwenda kujieleza kutokana na kuvaa sare za jeshi la wananchi Tanzania,
JWTZ, kwenye show ya Fiesta, kinyume cha sheria.

Hata
hivyo Diamond aliiambia Bongo5 kituoni hapo kuwa hakuwa tayari
kuzungumzia kile walichokuwa wakihojiwa na polisi. Awali kulikuwa na
taarifa kuwa meneja wake, Babu Tale alishikiliwa katika kituo hicho
kuanzia jana kabla ya kutoka Jumatano hii.

Diamond na Chief Kiumbe wakiteta jambo




Credit Bongo5