RAIS DK. SHEIN APOKELEWA PEMBA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/rais-dk-shein-apokelewa-pemba.html
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein na Mkewe Mama Mwanawema Shein wakisalimina na Viongozi mbali
mbali alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo (Picha na
Ramadhan Othman Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein
na Mkewe Mama Mwana Mwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wa
Vikosi vya Ulinzi Pemba mara baada ya kuteremka Ndege katika uwanja wa
Ndege wa Karume Pemba leo ( Picha na Ramadhan Othman Ikulu )