Picha
inajieleza yenyewe, hapo Dada huyo akisaidiwa na Msamaria mwema
aliyemuokota kwenye mtaro baada ya mwanadada huyo kupiga Chupa za
Kutosha na Kisha kuzidiwa na Pombe , Jamaa hawakucheza mbali wakajilia
vyao na kutimuka wakimwacha dada mtaroni bila msaada wowote.