Picha: Hakuna cha ustaa, muone Rihanna akikaguliwa hadi Soksi airport kama raia wa kawaida
Unaweza kudhani mtu maarufu kama Rihanna hupita kwenye uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi kama watu wengi, lakini sivyo.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/picha-hakuna-cha-ustaa-muone-rihanna.html
Unaweza kudhani mtu maarufu kama Rihanna hupita kwenye uwanja wa ndege bila kufanyiwa ukaguzi kama watu wengi, lakini sivyo.

MailOnline
imepata picha ya muimbaji huyo akipita kwenye kaunta za ukaguzi
alipokuwa akisafiri kutoka Miami. Kama kawaida alitakiwa kuvua vidani
vya thamani alivyokuwa amevaa pamoja na viatu vyake.