Flatnews

MUIGIZAJI RUSH HOUR AFARIKI DUNIA


elizabeth_pena2
Muigizaji na Mtangazaji wa TV, Elizabeth Pena enzi za uhai wake
Muigizaji wa Filamu ya La Bamba na Rush Hour ambaye pia ni mtangazaji wa TV, Elizabeth Pena amefariki  dunia Jumanne hii Hospitali ya Cedars-Sinai, Los Angeles Marekani baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa na umri wa miaka 55 ingawa Chanzo cha kifo chake hakijajulikana mpaka sasa.
Pena alizaliwa September 23, 1961 nchini Marekani na aliwahi kuongoza na kuendesha baadhi ya Vipindi vya TV kama I Married Dora, Resurrection Blvd, Maya & Miguel, Shannon’s Deal, Tough Cookies.

Post a Comment

emo-but-icon

item