ELANI KUTUMBUIZA BIG BROTHER AFRICA 2014
Elani Band
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/elani-kutumbuiza-big-brother-africa-2014.html
Kundi linaloundwa na wasanii watatu kutoka nchini Kenya, Elani
linatarajiwa kutumbuiza kwenye shindano la Big Brother Africa:Hotshots
jumapili hii October 19, 2014.
Kundi hilo linaloundwa na Bryan Chweya, Moureen Kunga na Wambui Ngugi kwa sasa linatamba kwa album yao inayoitwa ‘Barua ya Dunia’ pia linawania tuzo za CHOAMVA 2014.
Katika hatua nyingine imeelezwa kuwa kundi hilo lenye nyimbo nyingi za lugha ya Kiswahili fasaha linafanya vizuri sana katika soko la muziki Afrika mashariki na kati.