MAANDALIZI YA FIESTA YANAZIDI KUNOGA MSANII MWINGINE MNIGERIA ATUA NCHINI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/maandalizi-ya-fiesta-yanazidi-kunoga.html
Mwimbaji
kutoka Nigeria anayeishi Dubai,ashhamman amewasili leo tayari kwa
Serengeti Fiesta Dar es Salaam.Ashhamman amewasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mida ya saa tisa na robo mchana na
ndege ya shirika la Emirate.
List
ya wasanii wawili tu imesalia kukamilika ambao ni Davido kutoka Nigeria
na T.I kutoka Marekani kwaajili ya shangwe za Serengeti Fiesta 2014
Leaders Club Jumamosi hii.
Jipatie tiketi yako mtu wangu katika vituo hivi vifuatavyo kwa sh.15000 ukinunua mapema na 20000 mlangoni.
1.Fun zone shop-Mbezi beach Shamo tower
2.Shear Illussion-Mlimani city
3.Born to shine-Mwenge mkabala na TRA
4.TinaMaria boutique-Millennium tower
5.Kim Classic-Kinondoni studio kona ya mwananyamala
6.White Pamba-Sinza makaburini
7.Big Respect- Kariakoo
8.Flamingo Pharmacy-Tabata
9.Travel Partners-Masaki
10.Zizzou Fashion-Sinza mkabala na Ustawi wa jamii
11.Muba five barber shop-masaki mkabala na jackies
12.Jay Hustler-Mwenge mkabala na Bp petrol station
13.Escape one-Mikocheni
14.Fursat Dhabiyya-Kigamboni Mji mwema
15.Yusuf Collections-Tegeta mkabala na Azania bank
16.Free Market-Oysterbay
17.TCC club-Chang’ombe
18.Escape two-Mbezi beach
19.Leaders Club-Kinondoni
20.Clouds Media House-Mikocheni
2.Shear Illussion-Mlimani city
3.Born to shine-Mwenge mkabala na TRA
4.TinaMaria boutique-Millennium tower
5.Kim Classic-Kinondoni studio kona ya mwananyamala
6.White Pamba-Sinza makaburini
7.Big Respect- Kariakoo
8.Flamingo Pharmacy-Tabata
9.Travel Partners-Masaki
10.Zizzou Fashion-Sinza mkabala na Ustawi wa jamii
11.Muba five barber shop-masaki mkabala na jackies
12.Jay Hustler-Mwenge mkabala na Bp petrol station
13.Escape one-Mikocheni
14.Fursat Dhabiyya-Kigamboni Mji mwema
15.Yusuf Collections-Tegeta mkabala na Azania bank
16.Free Market-Oysterbay
17.TCC club-Chang’ombe
18.Escape two-Mbezi beach
19.Leaders Club-Kinondoni
20.Clouds Media House-Mikocheni
>>millard ayo









