Flatnews

EPL: Man City Waitandika Aston Villa 2 - 0


City win

Manchester city imefanikiwa kuondoka na ponti zote tatu katika mchezo wake na Aston Villa ambao ulifanyika Villa park ulikuwa ni mchezo mgumu sana city mnamo dakika 10  lala salama kiungo wa ivory coast Yaya Toure aliifungia timu yake goli la kwanza baada ya kosa kosa nyingi man city walizokuwa wanakosa, kabla ya mpira kuisha katika dakika 88 kun Aguero aliipatia city goli la pili na kujihakikishia ushindi. 

Aguero celebrates finally finding a way beyond Aston Villa goalkeeper Brad Guzan, who sits dejected in the background as Manchester City win 2-0 at Villa Park
Aguero celebrates finally finding a way beyond Aston Villa goalkeeper Brad Guzan, who sits dejected in the background as Manchester City win 2-0 at Villa Park



MATCH FACTS AND RATINGS

Aston Villa: Guzan 8, Hutton 5, Senderos 6.5, Baker 7, Cissokho 6.5, Cleverley 5.5, Westwood 5, Delph 7, Richardson 7 (Grealish 71), Weimann 6 (Benteke 61, 6.5), N'Zogbia 6.5 (Bacuna 71)
Subs (not used): Clark, Bent, Sanchez, Given
Bookings: NONE
Goals: NONE
Man City: Hart 6, Zabaleta 6.5, Kompany 6.5, Mangala 7, Kolarov 7, Milner 6.5, Fernandinho 5.5 (Lampard 56, 6.5), Toure 7, Silva 7 (Navas 84), Dzeko 6 (Fernando 64, 6), Aguero 7.5
Subs (not used): Sagna, Caballero, Demichelis, Jovetic
Bookings: Kolarov
Goals: Toure (82), Aguero (88)
Referee: Chris Foy (Merseyside)
Ratings by Jack Gaughan 

Post a Comment

emo-but-icon

item