Flatnews

A.Y ala shavu jingine la kufanya kolabo na msaniii mkubwa Marekani, hiki ndo alichokisema.


ay bongoclan.co.tz
Msanii AY ambaye hivisasa yuko nchini Marekani kwaajili yakutengeneza video ya wimbo wa ‘Touch me Touch Me’ aliofanya na Sean Kingstone na Ms Trinity.Amesema kuwa kila kitu kilienda vizuri na amepata support kubwa kutoka kwa mama yake Sean Kingstone, na kuna baadhi ya mastaa wataonekana kwenye video hiyo.Ay amesema kuwa video hiyo inaweza kutoka November mwaka huu.
Habari nzuri na kubwa ni kwamba msanii huyo amesema kuna uwezekano wakufanya colabo na msanii mkubwa wa Marekani ambae hakuwa tayari kumtaja,.Kila la kheri aarif endelea kuiwakilisha Tanzania vizuri.

Post a Comment

emo-but-icon

item