Msanii
kutoka Nchini Marekani T.I akitoa burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar
Katika Show ya FIesta iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika viwanja
vya Leaders.
Msanii Davido kutoka nchini Nigeria Akiwajibika
Diamond Platnumz akitoa burudani
Vanessa Mdee
Dimpoz kwa pozi
Ommy Dimpoz
Mashabiki
Banana
Young Killa
Waje kutoka NIgeria
Mashabiki wakishangweka
Victoria Kimani akiwajibika
Rachel Kazini
Rachel na wakata mauno wake.
Barnaba
Shaa na steji shoo wake wakiwajibika
Shaa akikata mauno
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz akitumbuiza kwa staili yake kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dar Leaders Club.
Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akifana yake na Ommy Dimpoz.
Madansa wa Vanessa Mdee wakifanya yao usiku huu.
Ommy Dimpoz akiimba juukwani wimbo wake wa Nani kama Mama.
Msanii
wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee akitoa burudani usiku huu katika Tamasha
la Serengeti Fiesta 2014 viwanja vya Leaders Club jijini Dar.
Msanii wa Bongo Flava, Shaa akifanya yake usiku huu kwenye tamasha la Fiesha 2014 Leaders Club, Dar.