Anayetuhumiwa kumuua ofisa usalama wa taifa naye auawa
http://samchardtz.blogspot.com/2014/10/anayetuhumiwa-kumuua-ofisa-usalama-wa.html
Mkazi Chanika
mkoa wa Dar es salaam,PauloMilanzi(35), anayetuhumiwa kushiriki kumuua
ofisa usalama wa taifa Sylivanus Mzeru amepigwa risasi na kufa katika
majibizano ya silaha na Polisi.
Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa kanda maalumu ya Kipolisi, Kamanda Kova.
Kamanda kova alisema mtuhumiwa huyo alikuwa akitafutwa na polisi kwa muda mrefu kuhusiana na matukio mbalimbali ya mauaji
na unyang’anyi wa kutumia silaha jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani.
na unyang’anyi wa kutumia silaha jijini Dar es salaam na mikoa ya jirani.