WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA WAKIENDELEA NA MJADALA BUNGENI.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/wajumbe-wa-bunge-maalum-la-katiba.html
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na
profesa Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma
Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kulia) akimpongeza
mjumbe mwenzake, John Cheyo ambaye alitoa mchango wa kusisimua bungeni
Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Stephene Wasira akichangia Bungeni mJini
Dodoma Septemba 27, 2014. (Piha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni
mjini Dodoma Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti
wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge
akichangia, bungeni mjini Dodoma, Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiteta na Mjumbe wa Bunge hilo,
Kingunge Ngombale Mwiru, bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.){icha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu akiongoza kikao cha
Bunge hilo Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif
Idd wakiteta Bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu
wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Hamad Rashid (kushoto)
wakiteta bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)