Flatnews

Unajua nini kilitokea usiku wa Mastaa wa U.S.A? Chriss Brown na Demu wake wafunika mbaya.



Jana kulikuwa na Game ya Basket Ball katika usiku wa mastaa wa U.S.A katika event ambayo iliandaliwa na POWER 106  na kuitwa All-Star Celebrity Charity Basketball Game,
Katika Game iyo Chriss Brown na demu wake walikuwa kivutio kikubwa sana. katika usiku uwo hasa baada ya team ya Chriss kuibuka kidedea katika game iyo.

Post a Comment

emo-but-icon

item