'UMBILE' LA NICK MINAJ UTATA MTUPU...LAZIDI UPANDE MMOJA!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/umbile-la-nick-minaj-utata-mtupulazidi.html
![]() |
| Mmmh makubwa |
Kuna
tetesi kuwa lile shepu la Nick Minaj lile ni la kutengeneza...Wiki
chache zilizopita pia kulikuwa na ripoti kuwa mkali wa ngoma ya Anaconda
Nick Minaj alijiumiza makalio yake alipokuwa akipafomu kwe VMAs..wengi
hawakuamini lakini usiku wa ijumaa alikuwa akitumbuiza kwenye Tamasha la
muziki la iHeartRadio Music Festival huko MGM Grand Garden Arena, Las
Vegas Shepu hiyo ya Nick ilizua maswali baada ya kuonekana imeinamia
upande mmoja kuliko mwingine kitu ambacho si cha kawaida...jionee!

