TAZAMA PICHA ZA MSANII BONGO FLEVA... AAIBISHA MA-MISS - (+18)
Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushaga...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/tazama-picha-za-msanii-bongo-fleva.html
Msanii
wa kitambo wa Bongo Fleva aliyewahi kutamba na Kundi la Chamber Squad
na ngoma yake ya taifa ya Kama Vipi, Moses Bushagama ‘Mez B’ anadaiwa
kuwaaibisha ma-miss kwa kuwalazimisha kupiga nao picha wakiwa watupu.

Msanii wa kitambo wa Bongo Fleva wa Chamber Squad Moses Bushagama, ‘Mez B’ akijiachia na 'totoz' fukweni.
Tukio
hilo la kidhalilishaji na lisilovumilika lilijiri juzikati kwenye
Ufukwe wa Mikadi uliopo Kigamboni jijini Dar muda mfupi baada ya jamaa
huyo ‘kushuti’ video ya ngoma yake mpya ya Shemeji.
Kwa
mujibu wa chanzo chetu, jamaa huyo aliwafuata warembo hao
waliojitambulisha
kwa majina ya Vicky na Rebecca waliokuwa kwenye swimming pool (bwawa la kuogelea) ambao ilisemekana kuwa siyo raia wa Bongo na huko wanakotokea ni ma-miss.
kwa majina ya Vicky na Rebecca waliokuwa kwenye swimming pool (bwawa la kuogelea) ambao ilisemekana kuwa siyo raia wa Bongo na huko wanakotokea ni ma-miss.
Ilidaiwa
kwamba Mez B ndiye aliyewaomba kupiga nao picha lakini jamaa huyo
‘akaharibu’ baada ya kwenda mbele zaidi na kuanza kuwaminya ‘vifuu’ vyao
kifuani vilivyoonekana ni vya saa sita vilivyokuwa wazi bila hata
‘braa’.
Mmoja wa ma-miss hao akiwa mtupu sehemu kubwa tu ya mwili wake.
Ilisemekana
kwamba baada ya kupiga picha hizo, yeye (Mez B) aliwafowadia washikaji
zake ndipo zikazagaa kupitia mtandao wa WhatsApp.
“Hawa
wasanii wetu kweli ni majanga. Ona Mez B alichokifanya na hawa mabinti.
Yaani wapo kama walivyozaliwa lakini yeye yupo freshi na nguo zake.
Kama siyo kudhalilishana ni nini! Amewaaibisha sana. Lakini na wao
hawakuona?” alihoji mrembo mmoja aliyefowadiwa picha hizo na rafiki
yake kwenye WhatsApp.
Baada
ya kuzitia picha hizo kibindoni, gazeti hili lilimtafuta Mez B kisha
kumbana kuhusu tukio hilo ambapo alijitetea kwa ufupi:“Wale ma-miss
walikuwa wanaogelea vifua wazi kwa muda mrefu. Wao ndiyo walioniomba
kupiga nao picha.”
Kumekuwa
na kasumba ya kupiga picha za utupu kisha kuziachia mtandaoni kwa
kudhani kuwa ni kujiongezea umaarufu lakini ukweli ni kujiondolea utu na
heshima mbele ya jamii.
Bonyeza HAPA like page yetu