Soma hapa alichosema Bab Tale Kuhusu Tetesi Za Tunda Man Kusimamishwa Kazi Tiptop.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/soma-hapa-alichosema-bab-tale-kuhusu.html
Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda Man kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.