REAL MADRID IMEFANYA MAUAJI YA 8-2
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/real-madrid-imefanya-mauaji-ya-8-2.html
Ronaldo
alifunga mabao yake katika dakika za 29, 41 na 78, wakati mabao
mengineya Real yamefungwa na James Rodriguez dakika ya 36, Gareth Bale
dakika ya 66 na 74 na Javier Hernandez ‘Chichairto’ dakika ya 88 na 90.
Deportivo ilipata mabao yake ya kufutia
machozi kupitia kwa Haris Medunjanin na Jose Verdu Nicolas.
Kikosi cha Real kilikuwa: Casillas, Arbeloa, Ramos, Varane, Marcelo, Modric/IIaramendi, Kroos, Bale/Hernandez, James, Ronaldo na
Benzema/Isco.
Deportivo: Lux, Laure, Diakite, Sidnei,
Luisinho, BergantiƱos, Medunjanin, Juanfran/ Juan Dominguez, Farina/Toche, Cuenca na Postiga/Cavaleiro.
