Flatnews

PICHA::WAJUE WASHIRIKI WA BIG BROTHER (BBA) KUTOKA KENYA NA UGANDA HAPA

Majina ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa yameanza kutangazwa leo September 18, 2014 kama ilivyofahamika jana kuwa M-Net na...


Majina ya washiriki wa shindano la Big Brother Africa yameanza kutangazwa leo September 18, 2014 kama ilivyofahamika jana kuwa M-Net na Endemol SA watakuwa wakitangaza majina matatu kila siku mpaka kufika siku ya uzinduzi wa Hot Shots October 5, 2014.
hotshots

Alusa-Kenya (kushoto), Butterphly-Zimbabwe (katikati), Ellah-Uganda (kulia)
Majina yaliyotangazwa leo ni ya mwakilishi wa Kenya aitwaye Mr Melvin Alusa, mwakilishi wa Uganda aitwaye Ellah ambaye ni Miss Uganda, pamoja na mwakilishi wa Zimbabwe aitwaye Butterphly Phunk ambaye ni Dj wa kituo cha Power Fm.
Ellah

‘Ellah’ Stella Nantumbwe ni Miss Uganda wa sasa
Alusa

Mr Melvin Alusa (Kenya)
Butterphly

Post a Comment

emo-but-icon

item