Picha:- Petit Man Na Esma Dada Yake Diamond Platnumz Wafunga Ndoa.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/picha-petit-man-na-esma-dada-yake.html
Esma
Platnumz ambaye ni dada wa Diamond Platnumz amefunga ndoa jana na
Petit Man ambaye ni mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu ya Endless Fame
Productions.
Petit Man pia ni meneja wa mwanamuziki Mirror. Ndoa hiyo ni ya kiislamu na celebrities kadhaa walihudhuria.