PICHA: angalia hii nguo aliyoivaa Kim Kardashian kwenye fashion show ya Givenchy, Paris na Mtoto wao North (Picha) Ni shida kweli.!
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/picha-angalia-hii-nguo-aliyoivaa-kim.html
Ana
miaka miwili tu, lakini North West ameanza kuhudhuria fashion show za
kimataifa tena katika mstari wa mbele. Weekend iliyoisha, mtoto huyo wa
Kanye West na Kim Kardashian ameshuhudia cat walks za warembo mbalimbali
akiwemo mama yake mdogo, Kendall Jenner kwenye Paris Fashion Week na
pia kwenye show ya Givenchy jijini Paris, Ufaransa.
Hata
hivyo katika picha nyingi, North alionekana kutofurahishwa na huenda
alikuwa anataka kwenda kulala kama watoto wengine wa umri wake? Ni sawa
kwa Kanye na Kim kumpeleka mtoto wao kwenye show za aina hiyo tena usiku
kwa umri wake? Tazama picha hizi.














