Flatnews

Nina Watoto Watatu Na Kila Mmoja Ana Mama Yake: Ali Kiba



Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva nchini Ali Kiba amesema kuwa ana watoto watatu na kila mmoja ana mama yake.


 Akizungumza na jarida moja la burudani kiba aliyetoa nyimbo mbili mpya hivi karibuni alisema kuwa kati ya watoto hao mmoja anaishi nae, wa pili yupo  Dar es salaam na mama yake na watatu anaishi Uingereza na mama yake.
Bonyeza HAPA like page yetu

Post a Comment

emo-but-icon

item