Flatnews

MTAMBO WA MAGOLI ASTON VILLA WAREJEA DIMBANI…MABEKI WAKAE CHONJO!



1411656672022_wps_1_Villa_s_Christian_Benteke

Habari njema!, Christian’s Benteke anarudi kuongeza nguvu Aston Villa
CHRISTIAN Benteke anakaribia kupona majeruhi yake na anaweza kurudi uwanjani katika mechi dhidi ya Manchester City jumamosi ya wiki hii.
Aston Villa kwa muda mrefu imecheza bila nyota wake huyo tangu mwezi machi mwaka huu kufuatia kupata majeruhi wakati wa mazoezi.
 Benteke-ambaye rekodi yake ilikuwa ni kufunga goli kwa kila mechi ya Villa-pia alizikosa fainali za kombe la dunia na nchi yake ya Ubelgiji.
Nyota huyo mwenye miaka 23 ameanza mazoezi na timu ya kwanza na kocha wake Paul Lambert anaamini atarejea kazini wikiendi.
The Aston Villa boss will be delighted to call on the services of star striker Benteke imminently
Kocha wa  Aston Villa  atakuwa na furaha na huduma ya mshambulaiji wake hatari,  Benteke 

Post a Comment

emo-but-icon

item