MJUE KAKA YAKE RAISI WA MAREKANI BARACK OBOMA HIZI HAPA.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mjue-kaka-yake-raisi-wa-marekani-barack.html
Raisi wa Marekani Barack Obamma ana kaka yake aitwaye Mark Obama
Ndesandjo ambaye ameshare baba mmoja na Rais ya wa marekani,Baba yao
alifunga ndoa na mama yake Ndesanjo lakini baadae waliachana na kufunga
ndoa na mama yake Barack Obama aliyejulikana kwa jina Ann Dunham hizi
ni baadhi ya picha zao zitazame hapa..

