MAMA ABDUL WA BONGO MOVIE ACHARUKIA WEZI KWENYE MISIBA
Staa wa filamu ya Kigodoro, Mama Abdul ‘Kantangaze’.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/mama-abdul-wa-bongo-movie-acharukia.html
STAA WA FILAMU YA KIGODORO, MAMA ABDUL ‘KANTANGAZE’ HIVI KARIBUNI ALITOA KALI YA MWAKA BAADA YA KUWACHARUKIA WEZI WA NYAMA MISIBANI, HASA AKINA MAMA.
Mama
Abdul alitoa kauli hiyo baada ya kuwaona akina mama wakidokoa nyama
kwenye sahani za vyakula zilipokuwa zikipitishwa wakati wa msiba wa Mc
Chimamy, eneo la Sinza jijini Dar es Salaam.
“Mnanisikitisha
sana akina mama, hizi nyama mnazoiba leo, ipo siku nanyi mtaibiwa
kwenye misiba yenu, kuweni na utu, nyama kitu gani watu tunalia nyie
mnaiba nyama” aliwananga Mama Abdul.
