MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI YAFANYIKA ZANZIBAR.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/maadhimisho-ya-siku-ya-bahari-yafanyika.html
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein mwenye tai nyekundu akimsikiliza Mkurugenzi mkuu wa wa Mamlaka ya kusimamiaUvuviwa Bahari kuu Tanzania Zahor Kassim Mohammed akielezea maswali mbalimbali kuhusiana na Usimamizi wa Uvuvi baharini katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Kapten Ally Machano kuhusiana na uwakaji wa maboya yanayotumia Umeme wa Jua katika Maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani huko Bwawani Mjini Zanzibar.
MWENYEKITI WA KAMISHENI YA UTALII AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR.
Mwenyekiti
wa Kamisheni ya Utalii Dk Ahmada Hamid Khatibu akizungumza na Waandishi
wa Habari ofisini kwake Amani kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya
Utalii Duniani ambayo yatafanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa
Kaskazini Unguja .Baadhi
ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano Ulioandaliwa na
Kamisheni ya Utalii kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani
ambayo yatafanyika katika Kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja .