LUCY KOMBA AMPA MASHARTI MUME WAKE MZUNGU
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni rai a wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba h...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/lucy-komba-ampa-masharti-mume-wake.html
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake.
Akizungumza
na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu
zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo
wazae watoto.
“Unajua napenda sana kuzaa hivi karibuni lakini itashindikana mpaka mume wangu atimize sharti la kupeleka vyeti vya ndoa na kuonyesha mimi ni mke wake halali nchini kwao na nitambulike kisheria,”