LOUIS VAN GAAL AKIRI WACHEZAJI MAN UNITED HAWAELEWI MBINU ZAKE....
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/louis-van-gaal-akiri-wachezaji-man.html
Louis van Gaal alishuhudia vijana wake wakipokea kutoka kwa Leicester wikiendi iliyopita
LOUIS van Gaal amekiri kuwa wachezaji wa Manchester United wana matatizo ya kuelewa mbinu zake mpya.
Mholanzi huyu aliitisha kikao kilichodumu kwa saa moja baada ya kufungwa na 5-3 na Leicester jumapili iliyopita.
Mshambuliaji wa United, Robin van Persie
alisema kulikuwa na mgongano wa mawazo katika kikao hicho, lakini
anahisi yote ilikuwa ni kwa faida ya kikosi.
Mholanzi huyu amekiri kuwa Kipigo kilitokana na ukweli kwamba baadhi ya wachezaji wameshindwa kuelewa mbinu zake
Ikiwakosa wachezaji 10 kutokana na
majeruhi na kutumikia adhabu, leo United inatarajiwa kuwa na muonekano
mpya dhidi ya West Ham, Ingawa Van Gaal amekiri baadhi ya wachezaji
hawajaendana na mbinu zake.
"Tulizungumaza mambo mengi na wanatakiwa kufanyia kazi" Alisema
"Tulizungumaza mambo mengi na wanatakiwa kufanyia kazi" Alisema