Mwenyekiti wa Kamati ya usalama barabarani mkoani Kilimanjaro, Christopher Lyimo akimkabidhi zawadi mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa mk...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/kilimanjaro-walivyozindua-wiki-ya-nenda.html
|
Mwenyekiti wa Kamati ya
usalama barabarani mkoani Kilimanjaro, Christopher Lyimo akimkabidhi
zawadi mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa mkoa huo, Dk. Faisal
Issa |
|
Kamanda wa Polisi wilaya ya Moshi, Hendry Mwakabonga,
Mgeni Rasmi, Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Faisal Issa pamoja na
Mwenyekiti wa Kamati ya usalama barabani, Christopher Lyimo,
wakishiriki kuimba wimbo wa Taifa. |
|
Kamanda wa Polisi wa wilaya ya Moshi, Hendry Nguvumali
akisoma risala ya Kamati ya usalama barabarani kwa niaba ya Katibu wa
Kamati hiyo, Kamanda wa usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro, Joseph
Mwakabonga. |
|
Sehemu ya maandamano katika uzinduzi wa wiki ya nenda
kwa usalama barabarani kimkoa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Stendi
kuu ya Moshi. |
|
Madereva wa Pikipiki za kusafirisha Abiria "Bodaboda"
nao walishiriki maandamano ya uzinduzi wa wiki ya nenda kwa usalama
barabarani, ambayo kitaifa yalifanyika mkoani
Arusha. |
|
Dkt. Faisal Akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama
barabarani |
|
Dkt. Faisal akikabidhi cheti cha ukaguzi kwa mmoja wa
madereva ambao magari yao yalikidhio viwango vya
ukaguzi |
|
Makamanda wa Jeshi la Polisi wa
wilaya wakiongozwa na Kamanda wa Polisi wa wilaya ya Moshi, Deudatus
Kasindo (wa tatu kulia) pamoja na Meneja wa Tanroads
Kilimanjaro, Marwa Rubrya (wa tatu kushoto) wakifuatilia kwa makini matukio
uwanjani hapo. |
|
Mgeni Rasmi akikagua Mabanda uwanjani
hapo |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
jamii Kanda kaskazini.