HII KALI:-Cheki Mtoto alivyovunja Protoko ya Jeshi alipomkimbilia Mama Yake Mwanajeshi akiwa kwenye Paredi.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/hii-kali-cheki-mtoto-alivyovunja.html
 |
Hali
ya hisia kali ilikumba hadhira iliyokwenda kuwapokea wanajeshi wa
Marekani waliotoka Afghanistan baada ya kutumikia jeshi wakiwa huko kwa
miezi tisa kabla ya kuungana na familia zao.
Wakati
wanajeshi hao wakipokea amri ya jeshi kabla ya kuruhusiwa kukutana na
familia zao mtoto wa miaka mitatu Cooper Waldvogel uvumilivu ulimshinda
na kukatiza kumkimbilia.
|
 |
Bila
ya kujali protokali mtoto huyo aliwaponyoka watu waliokuwepo na
kukimbilia moja kwa moja mikononi mwa mama yake na kumkubatia kwa hisia
kali.
|