EXCLUSIVE: T.I KUTUA BONGO KWENYE SERENGETI FIESTA 2014
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/exclusive-ti-kutua-bongo-kwenye.html
Wakati
Tour ya Fiesta ikiwa inazunguka kwenye mikoa mbalimbali Tanzania ambapo
weekend hii ni Mbeya na Songea, ametangazwa msanii wa kimataifa ambae
ni rasmi atapanda kwenye stage ya Fiesta Dar es salaam October 2014
Leaders Club Kinondoni.
Rapper
T.I ndio msanii wa kimataifa kwenye stage ya Fiesta October 18 2014
akiwa ni mkali ambae kwa sasa anamiliki chati za muziki kwa single yake
ya
