Diamond Platnumz Kuachia Nyimbo 2 Mpya Kwa Mpigo Zilizotengenezwa Nje Ya Nchi.
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/diamond-platnumz-kuachia-nyimbo-2-mpya.html
Superstar
wa music wa Bongofleva, Tanzania Diamond Platnumz ananga kuachia nyimbo
nyingine mbili kwa mpigo baada ya kuachia Mdogo mdogo ambayo bado
inatamba kwasasa huku akikimbiza katika nominations za tuzo mbalimbali
za kimataifa.