DEBUCHY KUWA NJE KATI YA WIKI SITA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/09/debuchy-kuwa-nje-kati-ya-wiki-sita.html
Mathieu Debuchy anaweza kuwa nje ya
Uwanja hadi Krisimasi baada ya kuumia enka dhidi ya Manchester City mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kocha
Arsene Wenger amesema kwamba Debuchy alitarajiwa kwenda
kufanyiwa uchunguzi kama atahitaji upausaji wa kifundo chake cha mguu
jana jioni ambao utatoa majibu atakaa nje kwa muda gani.
Ikiwa
hatahitaji upasuaji, itamchukua wiki sita nje ya Uwanja kabla ya
kurejea dimbani, lakini kama atapigwa 'kisu' atakuwa nje kwa angalau
miezi mitatu.
