Flatnews

CRISTIANO RONALDO APIGA 4 REAL MADRID IKIITANDIKA ELCHE 5-1….AMPOTEZEA ‘MBWATUKAJI’ JOSE MOURINHO!



1411498066650_wps_6_Real_Madrid_s_Portuguese_

Cristiano Ronaldo na Gareth Bale  wakishangilia baada ya Mreno huyo kufunga goli lake la pili
MWANASOKA bora wa dunia na Ulaya, Cristiano Ronaldo amepiga ‘hat-trick’ na goli ya nyongeza (magoli 4)  Real Madrid ikiitandika Elche 5-1 katika mechi ya ligi kuu nchini Hispania, La Liga.
Goli lingine lilifungwa na mchezaji ghali zaidi duniani Gareth Bale
Kikosi cha Carlo Ancelotti kimefunga mabao 18 katika mechi tatu.
Magoli ya jana yamemfanya Ronaldo afikishe mabao 8 ndani ya wiki moja na baada ya mechi aliulizwa kama bado ana furaha Real madrid.
Alisema: “Binafsi mambo yanakwenda vizuri, timu inafunga magoli, inashinda mechi na kucheza vizuri.”
Aliulizwa kuhusu maneno ya hivi karibuni aliyosema Jose Mourinho kwamba wawili hao hawana mahusiano mazuri, alisema: “Sio wajibu wangu kuzungumza mambo kama hayo, mimi naangalia zaidi ninachokifanya uwanjani.”
Elche forward Edu Albscar (R) scores a controversial penalty past Keylor Navas to open the scoring
Mshambuliaji wa Elche, Edu Albscar (kulia)  akifunga penalti matata iliyofungua mvua ya magoli, huku kipa Keylor Navas akijaribu kuokoa bila mafanikio.
Bale wheels away in celebration after bringing Real Madrid back on level terms at the Bernabeu
Ronaldo scored in his 13th consecutive home game after  another controversial penalty

Post a Comment

emo-but-icon

item