Flatnews

ANGALIA PICHA ZAIDI TAMASHA ZA SERENGETI FIESTA MBEYA

 Baadhi ya mashabiki wa mziki wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya uwanja wa Sokoine kusheherekea tamasha la Serengeti Fies...


 Baadhi ya mashabiki wa mziki wakiwa kwenye foleni ya kuingia ndani ya uwanja wa Sokoine kusheherekea tamasha la Serengeti Fiesta.




Time ya wasanii wa kuchipukia kukinukisha Serengeti fiesta 2014 ndani ya sokoine Mbeya amani na upendo vimetawala.









Wasanii wachanga wakisubiri time ya kupafom Serengeti Fiesta 2014




 Baadhi ya wasanii wachanga jijini Mbeya wakionesha vipaji vyao kabla ya wasanii wakubwa hawajaanza kupanda jukwaani.



 Mashabiki wa Mziki Mbeya wakiwa wamefurika ndani ya Uwanja wa Sokoine Mbeya kushuhudia Serengeti Fiesta usiku huu.
Sehemu ya Uwanja wa Sokoine eneo la kuchezea(pitch) ambayo baadhi ya mashabiki wa Mpira walitaka kugomea wakihofia kuharibika ikionekana katika ubora wake kutokana na kuwekewa ulinzi Mkali.
Na Mbeya yetu

Post a Comment

emo-but-icon

item