WENGER ATHIBITISHA MAN UNITED KUITAKA SAINI YA THOMAS VERMAELEN ILI KUIPIGA CHINI BARCELONA Kimataifa , Usajili Kimataifa ...
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/wenger-athibitisha-man-united-kuitaka.html
WENGER ATHIBITISHA MAN UNITED KUITAKA SAINI YA THOMAS VERMAELEN ILI KUIPIGA CHINI BARCELONA Kimataifa, Usajili Kimataifa
Yupo njiani? Beki wa Arsenal, Thomas Vermaelen anaweza kujiunga na Barcelona.
WAWAKILISHI
wa Barcelona wapo mjini Londo kufanya mazungumzao ya kujaribu
kumsajili Thomas Vermaelen kutoka Asernal ingawa wanakabiliana na
Manchester United wanaohitaji saini ya beki huyo.
Beki
huyo mwenye miaka 28 amekuwa akihusishwa kuwindwa na klabu za Katalunya
na United majira haya ya kiangazi, na Aserne Wenger ameshatibitisha
kuwepo kwa dili hizo.
Barcelona imemtuma mkurugenzi Raul Senlleh mjini London ili kufanya mazungumzo na Asernal