PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONESHO YA NANENANE
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/pinda-awasili-mwanza-kufunga-maonesho.html
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa
Mwanza, Dr. Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Mwanza August 7, 2014 ambako anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika
kilele cha sherehe za wakulima Nanenane mjini Mwanza August 8,
2014.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi, Evarest Ndikilo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na
Ushirika, Erasto Zambi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa
Mwanza August 7, 2014 ambako August 8,2014 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi
katika kilele cha sherehe za wakulima Nanenane jijini Mwanza . Wapili
kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Dr. Anthony Diallo na
kulia ni mkuu wa mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi
Evarest Ndikilo kwenye Ikulu ya Mwanza August 7, 2014 ambako August 8
anatarajiwa kufunga maonyesho ya wakulima Nanenane jijini Mwanza
August 8, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)