Flatnews

PICHA AJALI YA FUSO NA LORI YASABABISHA FOLENI KUBWA CHALINZE,

  Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo


  Hili ni roli lililogongana na fuso eneo la Chalinze na kupelekea foleni kubwa eneo hilo
 Fuso ambalo namba zake hazikufahamika kwa haraka likiondolewa barabarani baada ya kusababisha foleni eneo hilo la Chalinze.
 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo kwenye eneo la Chalinze



 Hizi chini ni picha za magari yakiwa kwenye foleni kubwa iliyosababishwa na ajali iliyotokea eneo la Chalinze leo mchana.




Post a Comment

emo-but-icon

item