MWANAAFA NDIYE MSHINDI WA MILIONI 50 ZA TMT
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/mwanaafa-ndiye-mshindi-wa-milioni-50-za.html
Mwanaafa ndiyo mmbabe wa TMT na ndiyo alikuwa mdogo kuliko wato katika kinyang'anyilo hicho za Mil 50.


Mshiriki
kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na
kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Mwanaafa
ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda
kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Salaam.
