KILICHOTOKEA BAADA YA DIAMOND KUKUTANISHWA NA JOKETI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/kilichotokea-baada-ya-diamond.html
Presenter maarufu ndani na nje ya
bongo akiwa pia anajishuhulisha na maswala ya ugizaji Msanii Jokate
Mwagelo katika hali isiyokuwa ya kawaida amekutana uso kwa uso na aliwewahi kuwa mpenzi wake
msanii Diamond kaitka moja ya Interview ambayo hufanya kwenye kipindi
cha The One show kinachorushwa na kituo cha Tv cha Tv1,ambapo Joakote
alionekana kumwonea aibu msanii Diamond na yeye pia nguli wa bongo Fleva
kuoneka akiona aibu vilevile unaweza kutizama pia hizo hapa


