KIJANA ALIYEONGEZEWA HUKUMU KWA KOSA LA KUJISAIDIA MAHAKAMANI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/kijana-aliyeongezewa-hukumu-kwa-kosa-la.html
Mkaka
huyu alikua na kesi ya jinai mahakamani,amejikuta akiongezewa mashtaka
baada ya kuulizwa maswali magumu sana na hakimu,na hatimaye akajikuta
breki zimefeli na kuachia ushuzi mkubwa uliofanya mpka watu walioenda
kuskiliza kesi ile kutoka nje na kuondoka kabsa.
