Gumzo kwenye mitandao ya kijamii
http://samchardtz.blogspot.com/2014/08/gumzo-kwenye-mitandao-ya-kijamii.html
Viongozi wa Afrika wamewasili nchini Marekani kwa mkutano na Rais Obama kuhusu maendeleo na ustawi wa bara la Afrika.
Lakini kilichowavutia wengi ni mtindo wa nywele wa mkewe Rais wa Cameroon Paul Biya, Chantal Biya. Huo ndio mtindo wake daima.

Katia picha ya zamani kidogo Chantal akiwa na mke wa Rais Barack Obama, Michelle Obama
Wengi wanasema kwamba akiwa anakutana na marais au wageni waheshimwa anapaswa ngalau kushukisha ushungi wake lakini baadhi wanasema kila mtu ana uhuru wa kuvalia anavyopenda.
Nini maoni yako? Je mtindo wa nywele wa mtu unasema chochote kumhusu mtu huyo?
