Watoto Njiti Mapacha Watelekezwa na Baba Yao
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/watoto-njiti-mapacha-watelekezwa-na.html
DADA mmoja
Fatuma Hussein (30), anaomba msaada kwa Watanzania baada ya kutelekezwa
na mzazi mwenzake.Akizungumza na mwandishi wetu maeneo ya Magomeni
Makanya,
Dar
dada huyo anadai kuwa aliishi na mzazi mwenzie kwa miezi miwili kama
mke na mume na ndipo akapata ujauzito,wakati huo alishajitambulisha
nyumbani kwao na kutoa posa baada ya kujifungua watoto njiti mapacha
wakiwa na miezi saba.

Watoto mapacha wakiwa wamelala.

Rahma akiwa kalala

Rahmu akiwa kwenye pozi.
Anadai mzazi mwenzake aitwaye Mussa
Unguja kamtelekaza, akaongeza kuwa huwa
haji kuwaona watoto. “Nikimpigia simu hapokei lakini siku moja aliipokea
na akasema hana shida na watoto wangu, toka siku hiyo sijazungumza
naye.
