Vikosi vyapambana na Al Shabaab Somalia
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/vikosi-vyapambana-na-al-shabaab-somalia.html
Taarifa kutoka Somalia zinasema
kwamba kumekuwa na makabiliano makali milipuko ikisikika katika eneo la
hoteli moja inayotumika kama makao makuu ya vikosi vya Afrika vya
kulinda amani.
Walioshuhudia mkasa huo wanasema hoteli hiyo iliyopo katika mji wa Bulo- burde, imeshambuliwa na wanamgambo wa Al -shabaab.BBC SWAHILI
