TASWIRA ZA KITUO CHA MWENGE KILIVYO KWA SASA MARA BAADA YA KUFUNGWA
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/taswira-za-kituo-cha-mwenge-kilivyo-kwa.html
Kibao
kikionyesha kuwa hakuna kituo chochote kutoka Mwenge hadi Lufungila.
Lufingila ndio Kituo Cha Kwanza ukiwa unatokea Mwenge kuelekea Ubungo.
Gari la
Manispaa ya Kinondoni likipita ndani ya kilichokuwa Kituo Cha Mabasi
Mwenge kuwatangazia Wafanyabiashara ndogondogo kuonda eneo hilo hadi
kufikia Saa Kumi na Mbili Jioni.