RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAGENI KUTOKA CHINA NA OMAN LEO
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-kikwete-akutana-na-wageni-kutoka.html
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Dkt Anne Suk-Ching, Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji wa Chama Tawala cha Jamhuri ya Watu wa China baada ya
kukutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mhe Saoud Ali Mohamed Al
Ruqaishi, Balozi wa Oman hapa nchini na Mjumbe Maalum wa Sultan Qaboos
Bin Said wa Oman ikulu jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2014