Flatnews

Rais Kikwete afungua Semina ya Commodity Exchange Dodoma


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kiikwete akifungua Semina ya Africa Rural Commodity Exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Mtaalamu wa Masoko ya mitaji kutoka Ethiopia Dkt.Eleni Gabre Madhin.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya Africa Rural Commodity exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper mjini Dodoma leo, Semina hiyo yenye maudhui Toward a vibrant Tanzania Commodity Exchange ilihudhuriwa na Mawaziri na makatibu wakuu.Semina hiyo iliendeshwa na mtaalamu wa masoko

Post a Comment

emo-but-icon

item