Rais Dkt.Shein akutana na Makamu Mkuu wa Rais ZTE, Leo
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/rais-dktshein-akutana-na-makamu-mkuu-wa.html
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang
Dabin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi kwa mazungumzo na Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akifuatana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang
Dabin,(kushoto) baada ya kumaliza mazungumzo yao leo alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]