Flatnews

PICHA; KIJANA ANAYEFANYA MAMBO YA AJABU NA HATARI...JIONEE HAPA

Ama Kweli Duniani Kila mtu amejaliwa kipaji chake. Kijana Huyu toka Zanzibar Ana Maajabu ya aina yake kwani anaweza kujisokota na kujip...


Ama Kweli Duniani Kila mtu amejaliwa kipaji chake. Kijana Huyu toka Zanzibar Ana Maajabu ya aina yake kwani anaweza kujisokota na kujipinda kwa Staili tofauti za ajabu. Kufanya Hivi inabidi uwe na mazoezi makali sana.

Kijana Hussein a.k.a Rubber Boy


Hapo Vipi ?

Noma sana

Post a Comment

emo-but-icon

item