PICHA BOMU LARIPUKA DARAJANI ZANZIBAR, MMOJA AFARIKI
http://samchardtz.blogspot.com/2014/06/picha-bomu-laripuka-darajani-zanzibar.html
Mlipuko
unaosadikiwa kuwa ni bomu jana Juni 13, 2014 ulilipuka eneo la Darajani
Zanzibar na kusababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi watatu.
Tarifa
zinasema mlipuko Huo umetokea baada ya waumini wa dini ya kiislamu
kumaliza muhadhara uliokuwa ukitolewa Miskiti wa darajani baada ya salsa
ya Isha.

